elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Kuna wimbo wa bongo fleva wa earlier 2000s sikumbuki kauimba nani ila chorus iko hivi.
Penzi litabaki pale pale (pale) X2
Nakupenda nakuhitaji uwe wangu eeh
Nilidhani aliimba adili lakini nadhani siyo yeye.
kama kuna mtu anaujua anisaidie.
Penzi litabaki pale pale (pale) X2
Nakupenda nakuhitaji uwe wangu eeh
Nilidhani aliimba adili lakini nadhani siyo yeye.
kama kuna mtu anaujua anisaidie.