Hahah tusubiri mkombozi atokeeHahaaa. Nimecheka kwa sauti ujue. Lol
Nini tena jamani?Hahaaaa. Lol.
Basi nimekusamehe... Lakini na wewe unisameheHahaaa. Tusameheane tu.
Hicho kigugumizi.Nini tena jamani?
Usijali MzeewakungoaBasi nimekusamehe... Lakini na wewe unisamehe
Kwa jinsi ulivyobadikika lazima nipate kigugumiziHicho kigugumizi.
Nashukuru e aaa HajarUsijali Mzeewakungoa
Ha ha ha haHivi wazazi sie!unamrekodi mwanao anaimba hvyo wakati mwenzio wake anataja marais wa Africa wote!
Tubadilike jamani
Yani hapo ndio ukute Mama ake alikua anakaambia "rembua macho mama" chezesha vidole" ringa kama nandy anavyoringa"....mxiuuuu kama ndio baba ake nikimkuta mwanangu anafanya ujinga huo mama ake atanieleza vizuriHivi wazazi sie!unamrekodi mwanao anaimba hvyo wakati mwenzio wake anataja marais wa Africa wote!
Tubadilike jamani