Nani anafanana na haka katotoo humu chit chat

Nani anafanana na haka katotoo humu chit chat

Hivi wazazi sie!unamrekodi mwanao anaimba hvyo wakati mwenzio wake anataja marais wa Africa wote!

Tubadilike jamani
Yani hapo ndio ukute Mama ake alikua anakaambia "rembua macho mama" chezesha vidole" ringa kama nandy anavyoringa"....mxiuuuu kama ndio baba ake nikimkuta mwanangu anafanya ujinga huo mama ake atanieleza vizuri
 
Back
Top Bottom