strategist22
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 655
- 599
- Thread starter
- #21
Asante Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Mkuu
Nipe mbinu Kidogobiashara yenye mtaji kidogo lakini faida yake ni kubwa sana!!kama utakuwa makini kwenye matumizi.
Ulifanikiwa na biashara hii?Yeah nataka nianze hii Biashara vifaa vyote tayari ninavyo bado sijapata sehemu natafuta maeneo ya Mbagala rangi tatu, kwa azizi Ally na tandika.
Nahitaji mtu anayefanya hii Biashara anipe mbinu za kufanya na za kuepuka. Ikiwezekana niende kwenye ofisi yake kupata uzoefu Kidogo.
Karibuni kwa ushauri, maelekezo, mapendekezo nk.