Ndiyo maana Jaji Werema alimbatiza jina la Tumbili.Heshima sana wanajamvi,
Kafulila tunaweza kumweka katika kundi la wanasiasa wepesi sana.
Hana akili zaidi ya kujikomba na kusifu waliomteua.
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuna nini hadi Tumbili kila uchao utamsikia kasema hili kabwatuka lile.
Ukitazama kauli zake nyingi zimejaa ujinga na upumbavu wa kiwango cha hali ya juu sana.
Ndiyo maana Kiswaswadu aliamua kupita na mke wake kama kipanga vile tumbili akabaki kulia lia tu kama mtoto aliyebemendwa.Halafu anadhani Ana akili kweli!
JAMBAZI NA FISADI NA BEDUI ROSTAM AZIZIHeshima sana wanajamvi,