Nani anafuata Katiba ya Tanzania ??? Naiona ipo ipo tu lakini kiuhalisia hakuna,labda walala hoi wanyonge,

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Kaondolewa yule wa Mahesabu akachomekwa mwengine ilifuatwa Katiba ?
Sasa hata huyu Ndugai anaweza kuondolewa bila ya kufuatwa Katiba, Kwa Sasa Raisi ndio Mkuu wa Nchi hivyo any time anaweza kumtimua mtu .
 
sawa tu mradi Ndugai aondolewe kwa vyoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…