Nani anagharamia haya matamasha na festival? Kama tumeanza matamasha 2024 hadi tufike 2025 Oktoba tutatumia trilioni ngapi za umma?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Natambua joto la uchaguzi limepanda sana huku maisha ya wananchi yakizidi kuwa magumu. Natambua wazi kwamba njia sahihi ya kumpumbaza maskini nikumpa pombe na chakula.

Natambua pia kwamba pombe na chakula cha siku moja siyo tiba yakudumu ya maskini bali tiba yakudumu nikumpa fursa za uzalishaji.

Nchi imegeuka sehemu ya matamasha ambapo kila mtu anayetaka kuiba fedha za umma anaamua kuandaa matamasha. Wakurugenzi wa halmashauri nchi nzima wanaandaa matamasha, wakuu wa mikoa wanaandaa matamasha na wizara nazo zimeondoka ofisini kwenda kuandaa matamasha.

Vyombo vya habari navyo vimeeleza watendaji wake washirikiane na wanasiasa kuandaa matamasha. Kila mtu anawaza matamasha na sasa hakuna kiongozi tena anayeweza madawa hospitalini wala madawati shuleni. Viongozi wote wamechagua fungu lisilo na ukaguzi wa CAG nalo ni fungu la matamasha.

Si matamasha tu bali viongozi wenye PHD na madaraka makubwa wameshikamananisha matamasha na mchakamchaka (jogging).

Wanatumia miezi kuandaa jogging na wakimaliza wanahitimisha kwa kula vizuri na kupongezana. Hakuna kiongozi yupo tena busy kujadili maswala ya wananchi.

Je, tunaamini uchumi wetu utakuwa kwa kutumia miaka miwili kuelekea kwenye uchaguzi kufanya jogging na matamasha? Fedha zinazotumika kwenye haya mambo kwanini zisitumike kufanya maendeleo? Miradi mingi imesimama lakini yote haya ni kudanganyana kwamba wananchi wana hasira hivyo tunataka kuwapooza na matamasha

The bad thing with matamasha ni kwamba ukiondoka watu wanasahau ila ukiwekeza kwenye miundombinu kila siku watakapokuwa wanaitumia watakushukuru na hata ukitembea kwao utakuwa na chakuonyesha.

Tuyaache matamasha yafanywe na private sector badala ya kukusanya pesa za wananchi na kuzipeleka huko. Fiesta, Nyama Choma, Kill marathons hufanywa na private sector na watu uinjoy.

Utashi wangu unanituma kwamba waandaji wa matamasha ni wezi wanaotafuta namna ya kutakatisha fedha ni watu wenye tamaa na wasio na chembe ya uadilifu. Unapata wapi nguvu ya kwenda kuserebuka kwa kodi za wananchi kwenye eneo ambalo hospitali haina dawa?
 
Watu wanalipia viingilio wewe!!
 
Anaegharamia hizo mambo anajulikana mkuu, sema nini....
Watu hawataki kesi tu mazee...
 
Kwahy ukipeleka Land Rover yako huko unalipiwa kila kitu?
 
Back
Top Bottom