Nani anahusika kuratibu na kugharamia wasanii wa DSM kuzunguka kutoa burudani kwenye mkesha wa Mwenge? Hizi fedha zinapitishwa na bunge?

Nani anahusika kuratibu na kugharamia wasanii wa DSM kuzunguka kutoa burudani kwenye mkesha wa Mwenge? Hizi fedha zinapitishwa na bunge?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Wasanii wa muziki na vyombo vya habari vimefanya mkesha wa Mwenge kuwa kama FIESTA. Wakuu wa wilaya na Mkoa wanatoa wapi fedha za kuwalipa wasanii wakubwa kwenda kutoa burudani usiku kucha kwenye mkesha wa Mwenge?

Je hizi fedha za kuwalipa zinatokana na bajeti inayopitishwa na bunge? Mbona gharama za mkesha wa Mwenge ni kubwa kuliko miradi inayozinduliwa?

Lakini pia fedha nyingi kwanini zinatumika sana mikoa maskini? Au maskini wanapenda sana kukesha kwa sababu hawana kazi? Mfano Tanga mwaka jana na mwaka huu nadhani wametumia fedha nyingi sana za matamasha ya Mwenge, je wanatengewa bajeti kubwa zaidi?
 
Back
Top Bottom