Nani anahusika na usajili wa TP Mazembe

Kama Singano ana miaka 27, basi Samata atakuwa 32+.

Vv
 
Singano Hana miaka 27 acha uongo Kama Ajibu ana miaka 23 na ndemla 22 singano kafikaje 27?
Kumbuka Hawa wote wametoka batch moja Simba B
Ramadhani Singano alisaini professional contact na Simba mwaka 2013 Alikuwa na miaka mingapi???? Ameondoka Simba Julai 1 2015 akiwa na miaka 22,Nani muongo mimi au wewe tahira usiyeweza kuprove chochote zaidi ya porojo tu.
 
Singano Hana miaka 27 acha uongo Kama Ajibu ana miaka 23 na ndemla 22 singano kafikaje 27?
Kumbuka Hawa wote wametoka batch moja Simba B
Huyo Singano ni mkubwa kwa Ajibu na Ndemla kama ulikuwa hujui sasa Singano kamuacha Ajibu miaka 3 nyuma na Ndemla mwaka 1 na hiyo Simba B unayoisema ukimtoa Mkude pekee yake ndio alikuwa na umri mkubwa then anafuatia alikuwa Singano na Mkude alikuwa ana mshinda mwaka mmoja t.......Wewe ukweli wako upo wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…