Hahahaaa shaulin soccer⚽
Hahahaaa shaulin soccer⚽
Watu waliingia na spana uwanjani kipigo kilitembea iyoo mechi mbaka mtu kiatu akawa anaona ni simu
ramos wangemuua humoHii ilikuwa mechi ya kibabe mno hata Ramos ingemshinda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mechi watu wanacheza wamevaa miwani sio ya kuipimia.Nadhan Ramos angeiweza hii mechi
Ramos ni mtata nadhan wakitengeneza shaolin soccer nyingine lazima wamwekeMechi watu wanacheza wamevaa miwani sio ya kuipimia.
Ramos angetolewa dk ya mwanzo akiwa hana shingo.
hahahahahShaolin Soccer - War Scene
spana nyundo zipo hapa ziangalie