deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 521
Kwa sasa unaipata brother?Ndiyo sababu ukaweka kwenye jukwaa la historia, imebaki stori tu.... nilikuwa naipata StarTimes na nilipenda kipindi cha HOOPS cha Karabani.
Jesus saves, I spend.
Habari wadau,hii luninga imeanza sio miaka mingi hapa nchini kurusha matangazo jee kwa sasa inapatikana kwenye kisimbuzi gani? Napenda sana uchambuzi wa michezo na mechi walizokua wakionyesha, wenye kujua hili karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzalendo huna?Kwa sasa sipati ‘loko chanelisi’ nipo kwa mkaburu.
Uzalendo huna?
Very good.Ninao mkuu, najivunia TBC bure kila niendako... ni full kuunga juhudi.
Mwanzo ilikua ya nani? Anamiliki?Tangu inunuloiwe na Kwese imekua kizungumkuti. Naona wamebaki nayo wenyewe. Kwenye visembuzi vyote haipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umeiona TV 1 toka lini kwenye kisimbuzi?Ninao mkuu, najivunia TBC bure kila niendako... ni full kuunga juhudi.