Nani anaipata TV1 hewani? Na kwa kisimbuzi gani?

Nani anaipata TV1 hewani? Na kwa kisimbuzi gani?

deo paul555

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2018
Posts
1,405
Reaction score
521
Habari wadau,hii luninga imeanza sio miaka mingi hapa nchini kurusha matangazo jee kwa sasa inapatikana kwenye kisimbuzi gani? Napenda sana uchambuzi wa michezo na mechi walizokua wakionyesha, wenye kujua hili karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo sababu ukaweka kwenye jukwaa la historia, imebaki stori tu.... nilikuwa naipata StarTimes na nilipenda kipindi cha HOOPS cha Karabani.

Jesus saves, I spend.
 
Tangu inunuloiwe na Kwese imekua kizungumkuti. Naona wamebaki nayo wenyewe. Kwenye visembuzi vyote haipo.

Back
Top Bottom