Nani anajua aina hii ya nyumba (jina lake) na kuzijenga

Nani anajua aina hii ya nyumba (jina lake) na kuzijenga

CES

Member
Joined
May 12, 2021
Posts
32
Reaction score
24
Kuna mtu anajua gharama ya kujenga aina hiyo hapa ?

ec38eb1d9c4b28614c0265ff920db0fa.jpg
 
Jengo la mtindo huo huitwa "Town House" na gharam yake ni sawa na nyumba ya ghorofa, on mfano hapa chibni. 🙂
1627718236288.png
 
Ukadiriaji wa gharama unaanzia kwenye 'plan' sio ' appearance'
Hiyo ni ngumu kukadiria gharama kwa sababu hatujui 'elements' zake kama nguzo na nyinginezo zikoje.
Ujengaji wake unawezekana.

Ila kwenye suala la makadirio ya gharama ni ngumu pasipo michoro
 
Ujengaji wake unawezekana.

Ila kwenye suala la makadirio ya gharama ni ngumu pasipo michoro

Wewe ungeweza kufanya plan yake, kama mimi ninakupa size ya each room, na picha ya muonekano ningetaka ?
 
Wewe ungeweza kufanya plan yake, kama mimi ninakupa size ya each room, na picha ya muonekano ningetaka ?
Ukinipa picha ya muonekano wa pande zote.
Na idadi ya vyumba inatosha. Kuhusu ukubwa wa vyumba design standards zipo.
Hapo nitaweza kukufanyia
 
Back
Top Bottom