Nani anajua aina hii ya nyumba (jina lake) na kuzijenga

Jengo la mtindo huo huitwa "Town House" na gharam yake ni sawa na nyumba ya ghorofa, on mfano hapa chibni. ๐Ÿ™‚
 
Ukadiriaji wa gharama unaanzia kwenye 'plan' sio ' appearance'
Hiyo ni ngumu kukadiria gharama kwa sababu hatujui 'elements' zake kama nguzo na nyinginezo zikoje.
Ujengaji wake unawezekana.

Ila kwenye suala la makadirio ya gharama ni ngumu pasipo michoro
 
Ujengaji wake unawezekana.

Ila kwenye suala la makadirio ya gharama ni ngumu pasipo michoro

Wewe ungeweza kufanya plan yake, kama mimi ninakupa size ya each room, na picha ya muonekano ningetaka ?
 
Wewe ungeweza kufanya plan yake, kama mimi ninakupa size ya each room, na picha ya muonekano ningetaka ?
Ukinipa picha ya muonekano wa pande zote.
Na idadi ya vyumba inatosha. Kuhusu ukubwa wa vyumba design standards zipo.
Hapo nitaweza kukufanyia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ