Nani anajua historia ya nini chanzo cha kuwepo kwa mti wa Xmas?

Nani anajua historia ya nini chanzo cha kuwepo kwa mti wa Xmas?

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,001
Reaction score
1,430
Wakati tukielekea kwenye sherehe kubwa inayoadhimishwa na waumini wa dini ya kikiristo ulimwenguni kote Christmas.

Nimekuwa nikiona watu wanapamba nyumba zao na mti almaarufu Christmas tree. Naomba kujuzwa historia ya matumizi ya xmass tree, kuna uhusiano gani wa tukio lenyewe na mti huo.
 
Kama kesho kutwa 25/12 ni miaka 2022 baada ya Yesu, hiyo siku iliwekwaje? Labda tuwaulize Wazungu walioanzisha X-mas
 
Kipindi hiki cha sikukuu za Christmas na mwaka mpya wafanyabiashara wa "one short = One goal" hupiga pesa hadi kuumwa.

Mavazi, vyakula, zawadi kwa bei ghali sana, baada ya hapo ni kula bata mwaka mzima...[emoji143]
 
Back
Top Bottom