Nani anajua kuhusu Jamhuri ya Watu wa Stanza?

Nani anajua kuhusu Jamhuri ya Watu wa Stanza?

Wakuu kuna nchi mpya inaitwa Jamhuri ya Watu wa Stanza ama kwa kingereza inatambulika kama The People's Republic of Stanza.

Hii nchi inadai ikulu yake iko sehemu inaitwa Peron na Rais wa Jamhuri hii ya Stanza kila mara amekuwa akifanya teuzi mbali mbali kwa ajili ya uendeshaji wa Serikali yake.

Nimejarubu ku-bing na ku-duck duck go na ku-google ila sijapata taarifa za kutosha kuhusu Jamhuri hii. Naomba mwenye kufahamu zaidi kuhusu hii nchi atueleze. Iko bara lipi na kama inatambulika huko UN.

View attachment 3069978
Bendera ya Jamhuri ya Watu wa Stanza.

View attachment 3069980
Moja wapo ya teuzi alizofanya Rais wa Jamhuri wa Stanza leo August 14, 2024.
Stanza wapo vyedi sana kwenye uzombinyundo
 
Hatimaye nimeteuliwa kuwa kiongozi wa machinga Jamhuri ya Stanza.
 
+259Zanzibar (this code is assigned in E.163, but use Tanzania, 25554
 
Mmhh nilipoona hilo jina Wiliam Charles Mapesa nikajua tu hii ni code, maana former director wa hiyo taasisi tajwa alikuwa ni Wilson Mahera Charles, anyway kwingine mmejitahidi kuficha ila kwingine ni rahisi mtu kufungua code mfano ni hiyo picha ya rais
 
Back
Top Bottom