Nani anajua kwa hakika kwanini Rais anachukua muda mwingi sana huko aliko?


Who cares about where he is?

Sidhani kama anyone needs this guy!
 
labda yupo mbinguni anaongoza wale malaika aliosema siku ile?
 
Siku ya 46 leo
 
kama huna uhakika na afya bora kujificha.
 
Hivi kumbe Rais akiwa mkoa mwingine hawezi kufanya majukumu yake?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndiyo, majuzi Rais wa south Africa alimwambia aweke meeting Kama chairman wa sadc lkn yeye akasema mkutano ufanyike kwa njia ya makaratasi maana aliko Kuna tatizo la logistics! Hawezi fanya teleconference, wakaamua kumuacha na kikao kiliendelea bila yeye, na leo EA kimefanyika kikao Cha teleconference hajahudhuria, Sasa Kama alisema sehemu aliko Kuna matatizo ya logistics huelewi kuwa hafanyi kazi ipasavyo?
 
Nafikiri yupo lile kundi Mabeberu wanaitaGA "
People at high risk with Coronavirus,,,, wewe Google hao watu na yeye utamkuta hapo
 

CHATO Ni IKULU#3( Kuna Dar, Dodoma na CHATO) Haiwezekani nyumbani kwa Rais ambayo ni Ikulu No.3 kusiwe na infrastructure ya Mawasilisno ya TELECONFERENCE...Mimi nakataa.Kuna sababu nyingine nyuma ya ukimya huu!!!
 
Wanaomuunga mkono Kayafa wana msemo wao...
Eti "Hii ni vita ya kufa na kupona... Kila mtu apambane kivyake vyake"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…