Nani anajua kwa hakika kwanini Rais anachukua muda mwingi sana huko aliko?

Nani anajua kwa hakika kwanini Rais anachukua muda mwingi sana huko aliko?

CHATO Ni IKULU#3( Kuna Dar, Dodoma na CHATO) Haiwezekani nyumbani kwa Rais ambayo ni Ikulu No.3 kusiwe na infrastructure ya Mawasilisno ya TELECONFERENCE...Mimi nakataa.Kuna sababu nyingine nyuma ya ukimya huu!!!

Let me quote Ramaphosa SA president " magufuli there is logistics problem from where he is, so he suggested we convene a meeting by papers!" Yaani alitaka fax meeting.

Lkn ngojea turudi nyuma kidogo, Museveni alisema aliongea na Uhuru na Kagame agenda moja Ila aliongea na magufuli agenda ingine! Ikapita hiyo ikaja Museveni akasema Tanzania ni sitting room in this EA community na Kuna shida sitting room ya corona cases! Ikapita ikaja Raila Odinga kila mtu anajua ni friend wa magufuli anasema kamtafuta hewani hajampata na kaacha msg hajajibiwa! Lengo lake alitaka kumwambia kuwa anashauriwa vibaya! Vile vile Odinga alisema kuwa hata Uhuru anamtafuta bado hajampata!

Then ikaja hii sadc meeting aliyoitisha Ramaphosa, then imekuja hii EA teleconference ya Leo na pia hajatokea! Haya Leo kenya wamefunga mipaka ya horohoro na Namanga, pia EA wamekuja na resolution tutaona zitavyo pan out! But all in all we are being isolated! Nakonde is closed over 300 cases confirmed within 7 days! And most cases zinatoka tz side.
 
Sisi kama wananchi hatujui kama rais yupo quarantine, anaugua au anauguza. Tuna haki ya kujua japo hata kwa kiasi fulani hali ya kiongozi wetu na sababu za yeye kuwepo kwa muda wa zaidi ya siku 45 sasa nje ya makazi yake rasmi. Yeye ni kiongozi wa nchi sio kiongozi wa kampuni binafsi. Hata wenye makampuni binafsi huwaambia waajiriwa wao juu ya kutokuwepo kazini kwa boss wao.

Watu wangejua ukweli haya maneno mengi wala yasingekuwepo.

Waziri mkuu wa Uingereza alisema waziwazi kuwa anaugua corona. Mwana mfalme wa Uingereza Prince Charles alitangaza hadharani kuwa amekutwa positive corona. Wapo viongozi wengi tu Ulaya na America wameweka wazi hali zao. Ni kwaninin sisi tunaficha ugonjwa huu na kufanya kuwa jambo binafsi wakati tunajua kuwa hii ni pandemic na inamhusu kila mtu?

Mimi nimejifunza jambo; kwamba sisi waafrika baado sana kuwa na fikra huru. Unaweza kuona wasomi na madigrii yao lakini fikra zao bado ni sawa na wasiosoma darasa hata moja. Na hii ndio sababu maendeleo ya Afrika ama yamebaki pale pale tangu uhuru au mambo yamekuwa mabaya zaidi kuliko kabla ya uhuru.

Mambo ya kienyeji yatufanya tushindwe kuendelea miaka nenda rudi. Watu wamekuwa wakiuliza kwanini Afrika haindelei, nafikiri mnaweza kujionea wenyewe sababu.
Namarizjia Kujifwikiza, unasekea kejana?
IMG_20200511_162755.jpg
 
Back
Top Bottom