Nani anajua saluni ya kiume inayoweza kukata nywele ya kizungu vizuri kwa maeneo ya Dar?

Joined
Dec 29, 2021
Posts
54
Reaction score
89
Habari wakuu!,

Nina rafiki yangu ambaye ni Mzungu anaishi Dar na anataka kunyoa nywele zake, amejaribu saluni kadhaa ila hawajamnyoa vizuri.

Kwa anayejua saluni wanaoweza kunyoa vizuri nywele za Wazungu na wenye bei nafuu anisaidie tafadhali.
 
Ipo lakini sio ya bei chee. Kichwa cha juu cha mzungu wanakitengeneza kwa 15,000 Tsh hapa Sinza. Wanafanya hivi ili kulipisha kisasi cha yale yote waliofanyiwa mababu zetu enzi za utumwa ikiwa ni pamoja na kudhurumiwa dhahabu wakati wakicheza mchezo wa bao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…