Nani anajua saluni ya kiume inayoweza kukata nywele ya kizungu vizuri kwa maeneo ya Dar?

Nani anajua saluni ya kiume inayoweza kukata nywele ya kizungu vizuri kwa maeneo ya Dar?

Mbna siaminii [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamke ndie kiumbe pekee anayeweka nywele juu ya nywele kucha juu ya kucha ndiye kiumbe anatembea na maziwa fresh lkn yeye hayatumii anauziwa hotelini🤣
 
Habari wakuu!,

Nina rafiki yangu ambaye ni Mzungu anaishi Dar na anataka kunyoa nywele zake, amejaribu saluni kadhaa ila hawajamnyoa vizuri.

Kwa anayejua saluni wanaoweza kunyoa vizuri nywele za Wazungu na wenye bei nafuu anisaidie tafadhali.
Wapo kkoo na kisutu kuna wahindi wananyoa style yoyote price kuanzia 20k tu
 
Mwanamke ndie kiumbe pekee anayeweka nywele juu ya nywele kucha juu ya kucha ndiye kiumbe anatembea na maziwa fresh lkn yeye hayatumii anauziwa hotelini[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mabwakuuu
 
Habari wakuu!,

Nina rafiki yangu ambaye ni Mzungu anaishi Dar na anataka kunyoa nywele zake, amejaribu saluni kadhaa ila hawajamnyoa vizuri.

Kwa anayejua saluni wanaoweza kunyoa vizuri nywele za Wazungu na wenye bei nafuu anisaidie tafadhali.
Mkuu mimi ni Kinyozi Binafsi,nina uzoefu na hizo nywele kwa miaka mitano nikiwa ktk jiji la Capetown south afrika.Popote nakufuata ndani ya Dar es salaam.Nicheki 0756331481
 
Back
Top Bottom