Nani anajua vizuri hizi airpods pro copy?

Nani anajua vizuri hizi airpods pro copy?

Mwasapile

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2020
Posts
214
Reaction score
448
Habari wadau.

Nani anajua vizuri hizi airpods pro copy. Naona kila anaeuza zake zina utofauti tofauti. Sasa nashindwa kujua ipi ni bora kwa sasa.

Naombeni ushauri wenu
 
Habari wadau.

Nani anajua vizuri hizi airpods pro copy. Naona kila anaeuza zake zina utofauti tofauti. Sasa nashindwa kujua ipi ni bora kwa sasa.

Naombeni ushauri wenu
we unataka zipi tuanzie hapo
 
Tafta hela mkuu uagize ebay huko..
Huku tushavamiwa na mchina unaweza uziwa 30k next door wanauza 19k kama hizo hizo.
 
Tafta hela mkuu uagize ebay huko..
Huku tushavamiwa na mchina unaweza uziwa 30k next door wanauza 19k kama hizo hizo.
Yaani mkuu hapo umeongea. Kwasababu nimenunua zangu 50k ila kuna wengine wameuziwa 120k
 
Back
Top Bottom