Nani anakijua chuo cha Mbeya health college vizuri

Nani anakijua chuo cha Mbeya health college vizuri

Andika vizuri.

Kama umemaanisha Mbeya College of Health and Allied Science - UDSM. Hicho kipo vizuri kinapatikana karibu na
Hospital ya Rufaa Nyanda za Juu
Pia karibu na Kanisa katoliki Jimbo kuu Mbeya

Kitaaluma kipo vizuri.
 
Back
Top Bottom