Nani anakua nani anachukua nafasi ya Nani cheo cha Makamu hakina manufaa kwa Nchi

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Nani anakua nani anachukua nafasi ya nani sioni kama ni vitu ambavyo watu GT hatutakiwi kua navyo tuachie watu IG huko.

Mkamu wa rais ni cheo kwa katiba yetu hakina maana yoyote makamu wa Rasi hana nguvu yoyote hatakiwi kua na ushawishi kumzidi la Rais sasa cheo kama hiki kina faida gani kwa Nchi?

Kiufupi ni cheo cha kula pesa za wananchi tu. Kwa katiba yetu Rais ni kila kitu sasa wanaosema nani anajukua nafasi ya nani HIKI cheo ni kama watumishi hewa hakina maana kabisa kwa kilichotokea kwa Nchimbi makamu wa Rais hata hawe Lissu hakuna kitu atafanya
 
Kikatiba kina faida 2 tu:

1. Uratibu - Kama Rais hayupo nchi, yeye anasimama.
2. Uwiano - Kwa miaka mingi kimekuwa kinatumika kuleta uwiano wa Muungano na vyama.

Lakini kwa vitendo, kama alivyosema Nchimbi mwenyewe alipojiuzulu: "Rais anataka mabadiliko". Inaonyesha mwisho wa siku ni Rais anaamua.
 
Kinachonishangaza zaidi ni Nchimbi kuonekana wa muhimu sana sasa hivi

Kama kweli alikua hakubaliani na mambo yanaondelea kwenye nchi mbona alikubali kujiunga na serikali

Serikali ambayo inalalamikiwa kila sehemu kwa kufanya ufisadi na mauwaji ya wanachi wake

Alikua na matarajio gani ambayo punde tu amegundua hayatatimia

F.... Siasa za Tanzania
 
Smart girl with smart brain 🧠
 
Nani anakua nani anachukua nafasi ya nani sioni kama ni vitu ambavyo watu GT hatutakiwi kua navyo tuachie watu IG huko.

Mkamu wa rais ni cheo kwa katiba yetu hakina maana yoyote makamu wa Rasi hana nguvu yoyote hatakiwi kua na ushawishi kumzidi la Rais sasa cheo kama hiki kina faida gani kwa Nchi?

Kiufupi ni cheo cha kula pesa za wananchi tu. Kwa katiba yetu Rais ni kila kitu sasa wanaosema nani anajukua nafasi ya nani HIKI cheo ni kama watumishi hewa hakina maana kabisa kwa kilichotokea kwa Nchimbi makamu wa Rais hata hawe Lissu hakuna kitu atafanya

View: https://vt.tiktok.com/ZSVqyDM4y/
 
Nafasi ya Makamo wa raisi ni nafasi yeti sana kwa namna katiba yetu ilivyo. Kumbuka, raisi akishindwa kutimiza majukumu yake kwa namna yoyote ile - Makamo wa raisi ndio anakuwa raisi( Ref case ya Magufuli/ ⏰️ 100. Kosa likifanyika halafu khali ikawa si khali ndio tumepata kimeo 4 ten good years.
 
Ni mitego tu ya kisiasa hapo lengo ni apate kuungwa na watu kisha miaka ya mbele ajiunge na chama kingine ili kuonesha kama ataleta upinzani..
Afukuzwe asifukuzwe wote ni wale wale ni danganya toto tu bibie.
Kabisa wanataka kuleta issue za Ukawa
This time watu wasikubali kuundiwa zengwe
Yeye na chama chake ni wale wale
 
Back
Top Bottom