GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Wakuu wengine tuko mbali na Magazeti, tunachoambulia ni heading tu. Kuna gazeti liliiripoti kuwa yule kiungo Mkongo alitaka kukimbia Yanga kwa sababu ya 10%, Gazeti hilohilo leo limeripoti kuwa tatizo hilo limetatuliwa. Tusaidieni tulio mbali na Magazeti ni nani alitaka kulamba 10% ya Tshishimbi?
Inaonesha huu ndio mtindo uliopo kwenye Vilabu vyetu hapa nchini.
Inaonesha huu ndio mtindo uliopo kwenye Vilabu vyetu hapa nchini.