Wakuu wengine tuko mbali na Magazeti, tunachoambulia ni heading tu
kuna gazeti Liliripoti kuwa yule kiungo Mkongo alitaka kukimbia yanga
kwa sababu ya 10%, Gazeti hilohilo leo limeripoti kuwa tatizo hilo limetatuliwa
Tusaidieni tulio mbali na Magazeti ni nani alitaka kulamba 10% ya Tshishimbi?
Inaonesha huu ndio mtindo uliopo kwenye Vilabu vyetu hapa nchini.