Halafu mleta uzi acha kumfananisha diamond na mambo ya kijinga aise!
King zamunda anasema kujua kazi raha sana afu yeye ni mkubwa kuzidi tuzo na mziki wake una thamani kubwa kuzid tuzo asa mm nahisi yy ndo anakula mkwanja mwingi kwa kila show mojaDaaah ila diamond mtu mbaaaaya sana, anatukosesha ladha kabisa kampoteza sana kiba.
Unajuwa kwenye movie, jambazi akiwa legelege sana hatoi challenge yeyote kwa starling movie inakuwa hainogi kabisa yan.. Ngumi moja umeuwa movie imeisha ndio kilichotokea hapa...
Baba tiffah aliposema, ""na bado watanyooka tu"" watu walidhania ni njugu mawe, ila kawaonyesha hadi watu wamehands up..!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kuna chuki na ushabiki 2m per show u can't be seriousHivi mmeona ratiba ya Show za diamond Ni nying mno zaidi en kuhusu pesa Sina imani kama Kiba anaeza fikisha hata 2M kwa show moja akati mond kwa show moja ni zaidi ya 15M
Wewe unataka watu tuongee ukweli halafu museme oooh tumegundua kuwa kuna watu wanatumia fedha zao kwaajili yenu ili nyinyi mulipwe 1ml kwa shoo halafu DIAMOND alipwe 100ml kwa shoo hiyo hiyo.
King zamunda ndo mambo ya kijinga cjakuelew mkuu
kiba wenzie wakina shilole mara ya mwisho tigo walimpa diamond 100milioni kwenye kiboko yao consert
Ipo sawa sana hii hahahaaaaa I love it
TuthibitishieWewe unataka watu tuongee ukweli halafu museme oooh tumegundua kuwa kuna watu wanatumia fedha zao kwaajili yenu ili nyinyi mulipwe 1ml kwa shoo halafu DIAMOND alipwe 100ml kwa shoo hiyo hiyo.