Nani anakula mkwanja mwingi kwenye show kati ya hawa jamaa?

Nani anakula mkwanja mwingi kwenye show kati ya hawa jamaa?

Daaah ila diamond mtu mbaaaaya sana, anatukosesha ladha kabisa kampoteza sana kiba.

Unajuwa kwenye movie, jambazi akiwa legelege sana hatoi challenge yeyote kwa starling movie inakuwa hainogi kabisa yan.. Ngumi moja umeuwa movie imeisha ndio kilichotokea hapa...

Baba tiffah aliposema, ""na bado watanyooka tu"" watu walidhania ni njugu mawe, ila kawaonyesha hadi watu wamehands up..!!
King zamunda anasema kujua kazi raha sana afu yeye ni mkubwa kuzidi tuzo na mziki wake una thamani kubwa kuzid tuzo asa mm nahisi yy ndo anakula mkwanja mwingi kwa kila show moja
 
Hivi mmeona ratiba ya Show za diamond Ni nying mno zaidi en kuhusu pesa Sina imani kama Kiba anaeza fikisha hata 2M kwa show moja akati mond kwa show moja ni zaidi ya 15M
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kuna chuki na ushabiki 2m per show u can't be serious
 
Mwanamuziki #kingkiba asifananishwe na mnenguaji #domo muache utoto kabisa
Wewe unataka watu tuongee ukweli halafu museme oooh tumegundua kuwa kuna watu wanatumia fedha zao kwaajili yenu ili nyinyi mulipwe 1ml kwa shoo halafu DIAMOND alipwe 100ml kwa shoo hiyo hiyo.
 
King zamunda ndo mambo ya kijinga cjakuelew mkuu

mkuu ukirejea iyo post yako vizuri kuna mtu umemfananisha na superstar platnumz apo,sasa cjui ndo huyo the so called king zamunda au vipi,jiongeze tu mkuu....teh teh teh!JEE UTANIPENDA? few hrs to come
 
Wewe unataka watu tuongee ukweli halafu museme oooh tumegundua kuwa kuna watu wanatumia fedha zao kwaajili yenu ili nyinyi mulipwe 1ml kwa shoo halafu DIAMOND alipwe 100ml kwa shoo hiyo hiyo.
Tuthibitishie
 
Back
Top Bottom