Nani anakumbuka majina ya utani kwa waalimu wetu?

SOCIOLOGISTTZ

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,615
Reaction score
929
Shule tulizosoma kulikuwa na majina mbalimbali ya waalimu Ya Utani na pengine wengi wa waalimu hao walikuwa hawajui kama wanaitwa hivyo;
Mfano Shule ya msingi niliyosoma:
1. kipere
2. Chafu
3. Yahe
4. Kimberembere
5. Kiroto
Secondary:
1. Babu
2. Fisi
3. Marege
4. DJ
5. Mhogo Mchungu
6. Kaburu
endeleeni na mengine kutoka kwenye shule zenu.......
 
kijino
monera
babu
bibi
tozi
fundamenta property
ok baby byeee(huyu alitufundisha form six)
nyama moja
 
inaonyesha hamkuwa na nidhamu kwa walimu, vibaya lakini!
 
Tk aka marehemu tomas kavuye...daaah huyu jama alikuwa ana majina lukuki simba,babu,mwanga....kuna huyu kijichorimix alikuwa ana kengeza,kuna kamamaa,kuna kiongwee aka kiazi haha
 
tena utufundishe manjemba yalio pinda kama sisi afu mwalimu uwe mdogo mdogo sister du

hahahja ningekua natoka darasani nalia mpaka nichoke ndo narudi tena kuendelea na kipindi
 
hahahja ningekua natoka darasani nalia mpaka nichoke ndo narudi tena kuendelea na kipindi
hahaha tungekuwa tuna kuliza daily,na tukijua zamu yako hatutoki ma bweniniii..ukija tunavua nguo tunakuwa uchi
 
Mselule
Mswahili
Babaa
Chifu
Amanda
Machakura
Baba Ubaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…