Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nawapenda wana cc wote bila kubagua..maana kila mtu anahumuhimu wake, Najua kama leo hajanifurahisha basi kesho atanifurahisha.
 
kila mtu ananivutia mi huwa natabasamu tuu na kucheka niingiapo jf so nawapenda wooote jameeen
 
Back
Top Bottom