Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

mie pia nalalaga fresh! sina tu mdogo wa kike lakini ningekuwa ane akaaniambia anaolewa,tena mume muabudu pombe namlaza ndan! sitak kbs aic! mxiew
Haha nyie watu wawili, Mungu azidi tu kuwatunza. Yani mnanifurahishaga sana, na kuna muda daah basi tu
Same to me. Tukeshe wote tukiwasubiri..teh teh bado mapema lakini, tuendelee kujimwayamwaya hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…