Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Owkey nimekuelewa sweetheart Wacha tulale Smart911 wangu miyeee......


We will see them tomorrow my king let's sleep... Ailavyuuuuuuuuuuuuu [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Loving you its easy coz your are beautiful.... Am glad you are in life...
Love you the best...
 


Miaka3 iliyopita nilikuwa mhanga wa kuchelewa kurudi nyumbani kwa ajili ya vijiwe vya ulabu..nikawa namtesa kweli mtoto wa watu..ila yale maombi sitakuja yasahau mana ilikuwa ikifika saa10 usiku hakuna kulala tena japokuwa huombi ila utalalaje sasa mwenzio yupo anakemea ulevi...aisee shetani wa alishindwa mwishowe sasa pombe sijagusa mwaka wa 3 sasa...ila mpira nilimwambia atanisamehe huo siwezi angalia nyumbani..so nikutie moyo kwamba yote yawezekana katika Jina la Yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…