Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

You know you just put a smile on ma face right now, right?!..[emoji2]
Asante shostito, Mungu Akubariki na kukuzidishia Upendo wake mkuu upitao mapendo yote, ubarikiwe utokapo na ubarikiwe uingiapo. Na kila unachogusa kibarikiwe na kurudi mara mia elfu, na mkono wowote utakaoinuka against you?, nina uweka chini.
Uzidishiwe na Ubarikiwe milele Amina!!!!
[emoji8] [emoji16] [emoji2] [emoji87] [emoji85]
Aaaah hii prayer ni ya hivi hivi au? Mbona kama nimepitwa[emoji137] [emoji85] [emoji85]
 
You know you just put a smile on ma face right now, right?!..[emoji2]
Asante shostito, Mungu Akubariki na kukuzidishia Upendo wake mkuu upitao mapendo yote, ubarikiwe utokapo na ubarikiwe uingiapo. Na kila unachogusa kibarikiwe na kurudi mara mia elfu, na mkono wowote utakaoinuka against you?, nina uweka chini.
Uzidishiwe na Ubarikiwe milele Amina!!!!
[emoji8] [emoji16] [emoji2] [emoji87] [emoji85]
Hahahaaaaaaa!!
Heaven Sent njoo uone nilivyoombewa mama. Kumbe hiki kichwa sio mimi na wewe tu anaetuvutia.[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom