Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nisaidie tu kushangaa mama, maana sio kwa kuombewa huko. Hata mimi mgeni[emoji85] [emoji85] [emoji85]

Kwa kweli sijaamini, sijawahi kumuona my gal akishusha maombi kiasi hicho hahaha


HAHA!, mwenzenu niko kwenye maombi kujiweka sawa nikikutana na comments zenye hadhi ya Havard niweze kujibu...lol
[emoji16] [emoji28] [emoji87] [emoji85] [emoji85]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Owkey nimekuelewa sweetheart Wacha tulale Smart911 wangu miyeee......


We will see them tomorrow my king let's sleep... Ailavyuuuuuuuuuuuuu [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Hahaha, you guys bwana!
Loving you its easy coz your are beautiful.... Am glad you are in life...
Love you the best...
 
hahahahhaa bado mamy mbn mapema saa hizi! tunasisitizwa tuwe WAVUMILIVU MPK SIKU YA KIAMA!tutaenda kukabidhiwa taji zetu mbinguni!heheheeh

hahahaha huku nasugua goti na machozi juu!pyeeee


Hahaha!, jamani usivunje mbavu zangu!

Hilo taji ulipate ukiwa na nguvu zako sasa, sio ulipate wakati ushajichokea hata kulifaidi huwezi tena jamani! [emoji16]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom