Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Wapi shemela angu Saint Ivuga namkubali kinoma noma.
Mwingine kaka angu BAK
Wao.
Im in love with you shemela
Sikujua kuwa shemela unanikubali ki ukweli kweli hivi.
Nimefurahi sana.

Ila huyu mtu uliyemtaja anayeitwa BAK ni my best friend for long time.
Hivi unajua kuwa jina lake ni Bubu Ataka Kusema? Ha ha ha
Huyu mutu wa kitambo sana hapa JF.

Najua atakuja na clip ya wimbo muda si mrefu.
 
Ha ha ha ha. Nawakubali sana hapa jf nyie watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…