Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Nakuona nakuonaa...
Kadadaa anaendeleaje jamanii.. Miss nyie mnoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuona nakuonaa...
Aaah
Sema hakyamungu mamy
Nakuona Mrs.TNakuona nakuonaa...
Kadadaa anaendeleaje jamanii.. Miss nyie mnoo
Ewaaa....Tupo Tanga..
Kwenye uzinduzi
Asante shoga,kuna mtu alijichanganya nikmwita t*hir@ shoga Ndio nikalambwa ban 32 hoursshouger nilikuona majuzi umekula BAN pole!karibu
Daaaahhhahahhh huenda liupo mie nipo empty na mambo y mpira! niulize miziki,mapish na fashooon bas! mwe
Msalimie mnoo jamaniiNakuona Mrs.T
Kanaendelea vizuri,imetoka hospital tupo nae nyumbani sasa hivi.
Pole shogaa... Ila kuna kipindi Ulikuwa una hamu nayo ujueAsante shoga,kuna mtu alijichanganya nikmwita t*hir@ shoga Ndio nikalambwa ban 32 hours
Asante shoga,kuna mtu alijichanganya nikmwita t*hir@ shoga Ndio nikalambwa ban 32 hours
Nishapoa mwaya.duh!pole sana
Hamjamuelewa..amesema amegundua wanawake wanawashobokea hawa Sio yeyeJiangalie na lugha unayotumia usije jikuta unaanzisha vita usiyoiweza ikavuruga na hiki kithd chako, sawa Shangazi?
Hahaha
Then you're damn wrong...Ili uwamege
No Mrs.T I was asking kama ukipigwa ban unatambua vipi....[emoji19]Hahaha
Umesahau kipindi kile eeehh!!!!
Shunie yupo busy kidogoo atakuja baadae
OoohNo Mrs.T I was asking kama ukipigwa ban unatambua vipi....[emoji19]
Wao.
Ha ha ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] na practical juu nimeifanyaOooh
Sasa umeelewa sio
Ha ha ha ha. Nawakubali sana hapa jf nyie watuWao.
Im in love with you shemela
Sikujua kuwa shemela unanikubali ki ukweli kweli hivi.
Nimefurahi sana.
Ila huyu mtu uliyemtaja anayeitwa BAK ni my best friend for long time.
Hivi unajua kuwa jina lake ni Bubu Ataka Kusema? Ha ha ha
Huyu mutu wa kitambo sana hapa JF.
Najua atakuja na clip ya wimbo muda si mrefu.