Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Juzi niliona walitajwa wanaume wanaovutia jf,,hebu leo tajeni wanawake wanaovutia jf,,pia utaje na wanaokuvutia wewe unatamani hata kuonana nae ,,,mim sitotaja msije sema nimependelea nimeona niwaachie nyie wanaume maana ndio mnajua na kuna wengine humu mnaonana kabisa so we taja tu
Lets gooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…