Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

haya lara....!

mi nimenote apo kwen "tiririka"....

aafu na apo kwen "kubwa la maadui"....

nimepanote kwa msisitizo mkuu.....!

karibu pilsner na vodka kwa muungano wao...

Mi nakunywa APPLE MALTIZER. ila karibuni nataka nionje kitu cha SENETOR!!!!
 
naanza na naniliii

Sweetlady salute madame b pamojaaa mhhh wengine baaadaaee
 
Alienuna si yule HAWARA YAKO ------- ambae hujamtaja hapo, ngoja nikmfurumushe aje afumanie huku!!! Mwanaume Kama MSWATI!!!!!!! Kujilimbikizia wote hao wenzio wabaki na nani? Vibaya hivo, tena wengine wewe ZOMBIII lao!
 
Madame B. Anavituko sana huyu mwanamke
 
Asprin! mi miss u, ananivutia kwa kila alichonacho, lol!

Eti cacico mpenzi umeniita nikuitike labeka au maneno ya wambea?

Najua unanimisi kama navokumisi lakini si wajua lazima nitimize ile ahadi ya kukununulia Landrover 109? Biashara ya vyuma chakavu bado haijashika kasi hapa Tora Bora. Na network inapatikana kwa shida huku. Hapa nimeazima ya Al Tawfiq ili nikusalimu.

Liwalo na liwe, lazima nitimize ahadi zangu kwako kama mwanaume. Ahadi zote.
 
Last edited by a moderator:

Mzima baba mlezi, naona wanakutaja taja, usije ukaibiwa mwanangu akakosa mlezi i see.

Hahahahahaaa hao wote ni shemeji zangu KOKUTONA usiogope mama E. Msalimie kidume changu.
 
Last edited by a moderator:
ha ha haaaa JF weeeeee....
me penda wote
maana wote mnahusika kunisaidia kupunguza maburnout...
 
Alienuna si yule HAWARA YAKO ------- ambae hujamtaja hapo, ngoja nikmfurumushe aje afumanie huku!!! Mwanaume Kama MSWATI!!!!!!! Kujilimbikizia wote hao wenzio wabaki na nani? Vibaya hivo, tena wengine wewe ZOMBIII lao!

Muhimu lara 1 umejua kama
Mi ni MWANAUME bhaaaaaaas!

Hao si wawili mbona sio wengi kwa standards za kisasa? Khaa of course hata kwa standards zako mazombie wanakuwaga wangapi? Jiulize
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…