Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Wowwwww[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] Mimi pia nampenda dark angel wangu bligedia,jemedari wangu[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Kuweni makini msije mkagegedana please![emoji53][emoji53][emoji53]

Kila saa nakuwaza hadi nakutaja kwenye uzi wa wanaume.
Haya ni mahaba. Yaani hatarious ( in maserati voice)
Asante kwa maupendo mpnz
 
Hahahaha mbona kama una mashaka... kuwa na amani utapata jibu

images
 
Back
Top Bottom