Haha'..!!ππ dada naendelea
kusubiri....usinibadilishie mada tafadhali πππ
afu ukatupie kapic basi nimekumiss π
Mwanzoni mwa hii Nov
One day yes, kama tulivyongea siku ileeeee [emoji4]
Vyote πHaha'..!!
Mdogo wangu I am only being honest here jamani.!
Unataka kuona wapi.? uso, mkono ama mguu??
Zigo la misumari au chawa πSafi sana ukuje PM nina zigo lako
Haha ndio babu upo sahihi π
Kazi yake nini eti
Atakuja kuloga makitu yenyewe yasionekaneHebu twenzetu PM kwanza tukapeane haya makitu... Achana na huyo Mshana Jr , mlozi aliyeshindikana
View attachment 1263084
Kazi yake nini eti
Ewaaaa... kazi yangu ni kukudekeza na kukubembeleza...Haha ndio babu upo sahihi π
Napendaga tu unavyokimbia kwa comments zako, I once told you this.!!Vyote π
Hata kule Posta Mpya π
Yeye ni yupi sasa hapoKasshashindwa na kulegea
View attachment 1263091