Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

wewe ndo ulipotea nikajua unhudumia ndoa!tulibaki wa4 espy,nalendwa,HS,na mm! jana nashukuru mume kawahi kurudi!karud 8 kasoro!nikawa na aman na furaha tele nikalala!
Hahaha
Na kweeeli aliwahi... Mie nililala bila hata kujua... Yaani nimelala simu mkinoni nashtuka kumbe nae kesharudi na kalala kuliko mieee!!!!
 
Hahaha
Na kweeeli aliwahi... Mie nililala bila hata kujua... Yaani nimelala simu mkinoni nashtuka kumbe nae kesharudi na kalala kuliko mieee!!!!

hhhahha kumbe na ww alikua hayupo!pole sana!anatumia kilaji
 
Asante mwaya...

Kilaji kwake ni kama maji na mastori zake za mpira ni changamotoo

na vile hatujuagi ratiba za league zao tunadanganywaga tu humo humo mwee! kun kipind nlikua namuuliz mkaka m1 ananiambia ratiba maskin za kila siku za mpira baadae nkajiona mie chizi!nikafunga huo ukurasa!
 
Back
Top Bottom