Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

na vile hatujuagi ratiba za league zao tunadanganywaga tu humo humo mwee! kun kipind nlikua namuuliz mkaka m1 ananiambia ratiba maskin za kila siku za mpira baadae nkajiona mie chizi!nikafunga huo ukurasa!
Bora hata wewe ulielewa hizo ratiba... Mie hata hizo team sizijui majina!!! Kuna ingine nilitajiwa iko na jina ka user name yangu, sijui ndo ilicheza jana?????
 
hhhhhahaha sijawah iskia hyo timu hhhhh!mie namju yeye ni Arsenal fan basi! lakini utaona anaangalia had na za MAN U huko!for wht purpose! mwanaume anaependaa mpira mara nying80% hata upendo anapunguza kwko anahamishia kwenye mampira!hatari sana
 
Heee
Ko hamna timu ka user name yangu kweeeli????!!!! Mmmmh ujue utani sio mzuriii eeehh
 
Back
Top Bottom