Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeyote yule...
Ndio maana wengi tu wanaingia ilimradi.
Lizzy Licious salaams from Da double d why why
Kweli we wa kitaa...ila usiharibu thread ya jamaa bwana ndo kwanza imeanza.Subiri mida mida alafu uniambie huko double D ni wapi!!
Aaah Lizzy Licious acha hizo bana.....ntakucheki kwenye skype mida mida basi au vipi?
Anhaa sasa kama ikifikia hali hii na bado hajitokezi mtu what happens au wanafanya nini?Ni wanawake kwa sababu hawawezi kutafuta mme mpaka watafutwe!!!! Mwanaume uamuzi wa kuoa na kutooa ni wake. Mwanamke hata ukitaka kuolewa ni mpaka umpate huyo muoaji anayetaka kukuoa wewe.
Anhaa sasa kama ikifikia hali hii na bado hajitokezi mtu what happens au wanafanya nini?
Sasa si ndio hapo kama mtu akifikia hapo hatua gani anaweza kuchukua? Atafute kwa nguvu au aweke tangazo gazetini kwenye front page au?
Ni sie mwaya
Afu unajua nini BB; hata huko kwa wadhungu ambako mwanamke kutongoza si kitu cha ajabu; when it comes to proposing for marriage ni mwanaume ndiye anayepropose. Kwa hiyo ndio maana inabaki pale pale wanawake tunasubili kuombwa kuolewa hatuwezi kupiga magoti and say "will you marry me?" hhiyo haipo hata uwe umedata kiasi gani.
Afu unakuta msichana anachekelea jamaa ka propose; meaning alikuwa anataka kuolewa na jamaa muda mrefu ila hakuwa na jinsi ya kumwambia kwa kuwa si kawaida. Hence si ndo tuko likely kuwa desperate
ni age gani ikifika mwanamke anakuwa desperate?
Umri unatofautiana tokana na mhusika. Kuna watu hata wakifika 25 wanakata tamaa. Mi niliolewa na 29 and I was not even thinking of marriage by then; but he proposed. Kwa wanawake ambao hawako shule umri unashuka. Ukiwa shule mawazo ya kuolewa yanakuwa sio kiivyo. Na pia inategemea jamii inayokuzunguka. Mi mfano ndugu zangu wote japo wameoa na kuolewa ni wale ambao hawaamini kuwa kuolewa ni lazima. Wengine mpaka walikuwa wananambia unakimbilia nini kuolewa and I was 29 imagine!