Felixonfellix
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 1,672
- 183
kuna kazi katika hili pia
fikiri kabla ya kutenda
wwk wanakuwa desparate zaidi
mazingira yanawaathili zaidi
fikiri kabla ya kutenda
wwk wanakuwa desparate zaidi
mazingira yanawaathili zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
<br />Nimekupata na nakubaliana na wewe..kwa asilimia nyingi tu.. <br />
<br />
Lakini je ni kiasi gani tunaweza kuepuka kujifunga kwa jamii na kupoteza uhuru wetu?.. Mfano ..kama mimi binafsi sijisikii na sitaki kuoa m-Korea au mhindi lakini ndugu, kabila na wazazi wangu kama jamii wanalazimisha iwe hivyo..nitafanye?