Nimekupata na nakubaliana na wewe..kwa asilimia nyingi tu.. <br />
<br />
Lakini je ni kiasi gani tunaweza kuepuka kujifunga kwa jamii na kupoteza uhuru wetu?.. Mfano ..kama mimi binafsi sijisikii na sitaki kuoa m-Korea au mhindi lakini ndugu, kabila na wazazi wangu kama jamii wanalazimisha iwe hivyo..nitafanye?