kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
Hakuna ubishi kuwa huu usajili unaenda kukamilika within 24-48hrs. Sanchez to Mancherster Utd na Henrick Mkhitaryan to Arsenal, kama mlifatilia press conference ya leo the boss mzee wenger amethibitisha hilo akisema linaenda kutokea. je nani amelamba dume ? jose au wenger ? tujadili kisport na sio ushabiki.
mkhi ana impact gan arsenal ? nafasi yake iko wapi ? endapo ozil hatoondoka naona mmoja atakuwa anaanzia bench, wote naona ni attacking midfilders wakipendelea number 10 role.
vp ujio wa sanchez utd utaleta madhara gani ? ni wazi kuwa rashford/martial/jesse wataathika kwa hili.
bila kusahau kuwa mzee wenger ameongelea uwezekano wa kumsign piere emeric wa dortmund, na kumpa sifa kede kede. binafsi sio fun wa arsenal lakini kama atafanikiwa kumpata aubameyang atatengeneza partinership nzuri sana yeye na mkhi kama ile iliyokuwa pale dortmund miaka kadhaa iliopita, naiona chemistry flan mzee wenger anataka kuitengeneza...