Nani analamba dume! Man Utd/Arsenal?

Nani analamba dume! Man Utd/Arsenal?

kitalembwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2014
Posts
3,607
Reaction score
9,430
Hakuna ubishi kuwa huu usajili unaenda kukamilika within 24-48hrs. Sanchez to Mancherster Utd na Henrick Mkhitaryan to Arsenal, kama mlifatilia press conference ya leo the boss mzee wenger amethibitisha hilo akisema linaenda kutokea. je nani amelamba dume ? jose au wenger ? tujadili kisport na sio ushabiki.

mkhi ana impact gan arsenal ? nafasi yake iko wapi ? endapo ozil hatoondoka naona mmoja atakuwa anaanzia bench, wote naona ni attacking midfilders wakipendelea number 10 role.

vp ujio wa sanchez utd utaleta madhara gani ? ni wazi kuwa rashford/martial/jesse wataathika kwa hili.

bila kusahau kuwa mzee wenger ameongelea uwezekano wa kumsign piere emeric wa dortmund, na kumpa sifa kede kede. binafsi sio fun wa arsenal lakini kama atafanikiwa kumpata aubameyang atatengeneza partinership nzuri sana yeye na mkhi kama ile iliyokuwa pale dortmund miaka kadhaa iliopita, naiona chemistry flan mzee wenger anataka kuitengeneza...
 
Hapo kuna DUME NA GARASA,,, sasa sijuwi Tangia Lini GARASA likageuka DUME
 
Tusubir kwanza, yasije yakawa kama ya Lukaku na Morata.
 
Mda ndio utakaoamua! Hata huyo Sanchess akiwa new camp mpira ulikataa kabisa.
Noup camp kulikuwa na mafundi Wengi kipindi kile,,, na sanches hakupewa nafasi ya kucheza muda mwingi,, tofauti na miky,, kapewa kila kitu man u,,, cheza mpira,, ,,, anachimba chini... Anaacha mpira,,
 
DUME ni sanches... Miky GARASA,, nadhani nimeeleweka
micky sio garasa mkuu... muda utasema, haendani na mfumo wa jose.... angalia kina mo salah, kina de bryune mpira uliwakataa wakiwa mikononi mwa jose, nadhani wanachokifanya sasa unakijua...

hapa wenger akimpata aubameyang atafanikiwa kuunda partership nzuri na micky
 
Kuna wakati ni pattern za mwalimu ndio zinaamua yupi garasa na yupi kinara....hapa najaribu kumkumbuka Diego Forlan aliyecheza Man Utd na yule Diego Forlan aliyewika world cup
 
Mkuu mi nadhani wote wamelamba dume. Mikhi anaweza kwenda kusaidiana na Ozil mmoja awe anaanzia benchi. Tena kwa mpira wa Mikhi Arsenal unaweza kumkubali kama hawatakuwa wanadefence sana.

Kwa Man Utd watakaoathirika ni Martial sana sana. Hii wing imeongezewa nguvu so kutakuwa na pass nyingi kutokea kushoto pia Sanchez ana kasi itasaidia pia counter attacks. Sioni km Jesse Lingard ataathirika na ujio wa Sanchez kwa sababu Jesse anacheza namba (10) nyuma ya Lukaku.

Wote wamelamba madume
 
Noup camp kulikuwa na mafundi Wengi kipindi kile,,, na sanches hakupewa nafasi ya kucheza muda mwingi,, tofauti na miky,, kapewa kila kitu man u,,, cheza mpira,, ,,, anachimba chini... Anaacha mpira,,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee sio poa Ana chimba chin okay mfumo Uta mbeba Sana uyu jamaa
 
Back
Top Bottom