Nani analifahamu kanisa la Shincheonji Tanzania?

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,718
Reaction score
7,784
Habari!
Kanisa hili ni jipya, lilifunguliwa Tanzania mnamo mwaka 2015. Kanisa hili lina makao yake makuu nchini Korea Kusini.

Kuna mengi nahitaji kuyafahamu kutoka kwa watu ambao wanafahamu abc's za kanisa hili.

Wewe unalifahamu vipi kanisa la SCJ Tanzania?
Karibuni tufahamishane!
 
sijawahi kulisikia, ila kama limetoka korea, litakuwa na misingi mizuri sana ya imani. watoto wa David Yonggi Cho hao.
 
Habari!
Kanisa hili ni jipya, lilifunguliwa Tanzania mnamo mwaka 2015. Kanisa hili lina makao yake makuu nchini Korea Kusini.

Kuna mengi nahitaji kuyafahamu kutoka kwa watu ambao wanafahamu abc's za kanisa hili.

Wewe unalifahamu vipi kanisa la SCJ Tanzania?
Karibuni tufahamishane!
Unafanya tafiti wangapi wanalijua kanisa lenu?.
 
Achana na hayo taka taka

Njoo kwangu kanisa la TUCHUNGUZANE INDEPENDENT POWER CHURCH
 
Habari!
Kanisa hili ni jipya, lilifunguliwa Tanzania mnamo mwaka 2015. Kanisa hili lina makao yake makuu nchini Korea Kusini.

Kuna mengi nahitaji kuyafahamu kutoka kwa watu ambao wanafahamu abc's za kanisa hili.

Wewe unalifahamu vipi kanisa la SCJ Tanzania?
Karibuni tufahamishane!
si unaongelea lile wapo maeneo ya pale Morocco?
 
Back
Top Bottom