mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
sijawahi kulisikia, ila kama limetoka korea, litakuwa na misingi mizuri sana ya imani. watoto wa David Yonggi Cho hao.Habari!
Kanisa hili ni jipya, lilifunguliwa Tanzania mnamo mwaka 2015. Kanisa hili lina makao yake makuu nchini Korea Kusini.
Kuna mengi nahitaji kuyafahamu kutoka kwa watu ambao wanafahamu abc's za kanisa hili.
Wewe unalifahamu vipi kanisa la SCJ Tanzania?
Karibuni tufahamishane!
Huko mnatoa majini kwa milioni ngapi?.Achana nalo hilo njoo precious life ministries hutojutia. Tupo keko mwanga mtaa wa mabatini kwa mtumie Elia.
Unafanya tafiti wangapi wanalijua kanisa lenu?.Habari!
Kanisa hili ni jipya, lilifunguliwa Tanzania mnamo mwaka 2015. Kanisa hili lina makao yake makuu nchini Korea Kusini.
Kuna mengi nahitaji kuyafahamu kutoka kwa watu ambao wanafahamu abc's za kanisa hili.
Wewe unalifahamu vipi kanisa la SCJ Tanzania?
Karibuni tufahamishane!
si unaongelea lile wapo maeneo ya pale Morocco?Habari!