Nani analihujumu Taifa? Tusipozinduka sasa...

Majasusi wa michongo hao.
 
Sasa hapo chadema imeingiaje????
 
We need such people with great thinking minds.
 
Tuko nyuma sana kwenye ujasusi wa kiuchumi, mpaka sasa hakuna accomplishment yoyote ya maana. Ni mabingwa wa kuweka mipango na kutoitekeleza,matokeo yake jirani zetu wanapata pa kutokea kupitia ile ile mipango.
Kudos Yericko
 
Voicer umeupigiga mwingi mkuu, hakika umetukuka 🙏🙏🙏🙏🙏
 
Uhalibifu wote huu unafanywa na CCM, badala ya sisi kushindana na watu wa mataifa kupiku miradi ya kimkakati kwenye zone yetu badala yake sisi tunapeana kesi za UGAIDI.

CCM chama tawala inatumia vyombo vyote kuhakikisha inabakia madarakani, na vyombo navyo kwa bahati mbaya vinaona ule ndiyo wajibu wake mkubwa. Hili la Bandari ya Bagamoyo ni mfano tosha.
 
Hili Andiko lina Ujumbe na alarms MUHIMU SANA KWA TAIFA

Bravo Yericko NYERERE
 

 
Kazi za BALOZI huko nje ni nini? Kwahiyo wao hawaoni fursa za kiuchumi, hawana uelewa ni kula mishahara tu basi.Kama ndio hivyo wabadilishiwe majukumu yao au wapelekwe watu wenye uelewa na mambo ya uchumi ili kushawishi wawekezaji kuja nchini.
 
Rais Samia anapambana kufufua mradi wa Bagamoyo na LPG ya Lindi lakini unajifanya hujui kwamba Chadomo kwa kushirikiana na Sukuma gang wanafanya kila mbinu Ili kukwamisha kwa visingizio vya kijinga lakini ukweli ni kwamba hawataki mama amfunike yule shujaa wao wa Afrika..

Mchawi mbongo mwenyewe.
 
Huyo Yericko Nyerere ni kada mkubwa wa Chadema.
Wewe uko nyuma na hujui ya kule mbele kwenye Dash board ya gari letu.

Ni kawaida ya Chadema kusema angalieni majirani....

Kwani uongo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…