Ninachosema aluchoongea Yeriko katumia term ya ujasusi wa kiuchumi ana outdated knowledge !!!Yericko Nyerere kajenga hoja zake, zinaweza kuwa sahihi au potofu
Hoja si nini au nani amesoma nini, hoja zake zipo wazi. Tafadhali zibomoe kwa hoja , zijibu kwa hoja
Sawa sawa sina tatizo na 'outdated info''. Nilichokisoma ni hoja zakeNinachosema aluchoongea Yeriko katumia term ya ujasusi wa kiuchumi ana outdated knowledge !!!
Hicho alichoandika kwa elimu ya sasa kiko kwenye somo la marketing mfano mama Samia alifanya Marketing ya utalii wa ndani Royal Tour ile kwenye somo la Marketing Inaitwa Marketing Tanzania economy au advertising Tanzania economy kama nchi baada ya kufanya market research na kujua utumie strategy ipi uwe na competitive advantage
Haya maneno kama ujasusi wa kiuchumi ni maneno outdated ya documentary na novel na movie za enzi za cold war!!!
Tusaidie kuzibaini 'strength na Weakness' kutoka katika mada ya Yericko NyerereKama umeamua kuwa mchambuzi basi tumia SWOC katika kujadili kwako. Mijadala ya kuelezea weaknesses tu inakuwa biased. Ikiwa biased basi inakuexpose wewe Yeriko uonekane;
1. Unachambua kichadema
2. Unachambua kuuza kitabu chako.
Kuna strengths za Tanzania na kuna challenges.
Usiandike kama vile ni Taifa lilofeli au ambalo halijawahi kufanikiwa katika sera yoyote au kana kwamba hayo mataifa mengine hayajawahi kufeli mahali.
Fair enough!Hii story yako Wala sijaielewa,unapigia kampeni kitabu chako Cha "ujasusi"au unaeleza tatizo la kiuchumi la TZ na sababu zake?wewe hujawahi kuwa jasusi,hata ufahamu wako na masimulizi are like any normal next guy,ni yakawaida sana,sie tunaosoma novel za ujasusi kutoka kwa waandishi mahili duniani,wewe Bado ni bwana mdogo,
VemaMkuu voicer naunga mkono hoja zako zote kasoro pale ulipoanza kumtaja Magufuli. Utanisamehe kwa hilo. Magufuli ndiye aliyekwamisha ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kwa kuwa tu mkataba umesainiwa na Kikwete na siyo kwa ubaya wa mkataba
Mtazamo tu je pesa nyingi zitaenda nje kwa foreigners au zitabaki ndani?Sawa sawa sina tatizo na 'outdated info''. Nilichokisoma ni hoja zake
Je, katika hoja zake, wapi amekosea, wapi amepotosha, wapi amepatia !
Labda nikusaidie kidogo, katika hoja ya bandari ya Bagamoyo nini mtazamo wako?
Naona unajibu kimhemko zaidi..Mtazamo tu je pesa nyingi zitaenda nje kwa foreigners au zitabaki ndani?
Bagamoyo investor mchina,na mjenzi wa project mchina ,architect mchina,Project Manager mchina ,Mwendesha mradi mchina.Mradi gani huo usio na segregation of duties? Akikuzidishia cost mara elfu moja utambishiaje? Halafu anakwambia nitaendesha Mia elfu moja ku recover cost zangu wewe uko wapi kwenye huo mradi?
Mradi hopeless sana huo
Serikali ya CCM ya JK na JPM kama waziri tena wa ujenzi ilisaini !Mtazamo tu je pesa nyingi zitaenda nje kwa foreigners au zitabaki ndani?
Bagamoyo investor mchina,na mjenzi wa project mchina ,architect mchina,Project Manager mchina ,Mwendesha mradi mchina.Mradi gani huo usio na segregation of duties? Akikuzidishia cost mara elfu moja utambishiaje? Halafu anakwambia nitaendesha Mia elfu moja ku recover cost zangu wewe uko wapi kwenye huo mradi?
Mradi hopeless sana huo
Mkuu voicer! Labda tuzungumzie kuhusu mada ya mtoa hoja na siyo itikadi yake ya chama, kama watanzania ni nini kinachotukwamisha na kuturudisha nyuma kimaendeleo?Je!
Mleta bandiko amewahi kuisaidia nini Chadema kiushauri kama jasusi na kada mtiifu.
Mbona anawaacha viongozi wake wakifoka foka majukwaani bila sera zaidi ya Piiipoooziii!
Hatuwaoni wakisimama kidete kuipinga CCM kwa hoja na sera.
Badala yake ni kudandia matukio kila uchao na kujadili watu binafsi huku wakiwaombea vifo opponents wao!
Vema
Hapa ndipo tunapata swali, je, tuna sera za nchi au za watu?
Mradi kama wa Bagamoyo ni 'sera' ya nchi, iweje mtu aje na kuweka tu kama JK au kufuta kama JPM bila kuwasiliana na vyombo.
Je, tatizo ni nini, hawa watu waliopewa madaraka makubwa ya kufanya hivyo au mifumo mibaya inayowawezesha kufanya watakavyo?
Kuna bandiko la ndugu Chige humu niliwahi kupitia nikaona lina udadavuzi ambao ni objective na linaelimisha vizuri juu ya hili suala la Bandari ya Bagamoyo..Mtazamo tu je pesa nyingi zitaenda nje kwa foreigners au zitabaki ndani?
Bagamoyo investor mchina,na mjenzi wa project mchina ,architect mchina,Project Manager mchina ,Mwendesha mradi mchina.Mradi gani huo usio na segregation of duties? Akikuzidishia cost mara elfu moja utambishiaje? Halafu anakwambia nitaendesha Mia elfu moja ku recover cost zangu wewe uko wapi kwenye huo mradi?
Mradi hopeless sana huo
YEHODAYA nadhani utakuwa umepitia hoja nyingine za ChigeKuna bandiko la ndugu Chige humu niliwahi kupitia nikaona lina udadavuzi ambao ni objective na linaelimisha vizuri juu ya hili suala la Bandari ya Bagamoyo..
Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo
UTANGULIZI Amini usiamini, wale wale ambao wamekuwa wakijivika uzalendo, linapokuja suala la Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ndiyo hao hao wanaotumikia Mabeberu bila wao kujijua! Nitajadili mada hii katika sehemu mbili:- Kwanini wale wanaoitwa Mabeberu hawawezi kuwa tayari kuona miradi kama ya...www.jamiiforums.com
Nisipokosea kwenye enzi za BWM iliandikwa Blue Print inayoitwa Tanzania Busion 2025. Ambayo ni mpango kazi wa maendeleo wa wa muda mrefu. Ukihusisha miundombinu hani ijengwe, kilimo kifanyike vipi, wlimu iendeshweje nkVema
Hapa ndipo tunapata swali, je, tuna sera za nchi au za watu?
Mradi kama wa Bagamoyo ni 'sera' ya nchi, iweje mtu aje na kuweka tu kama JK au kufuta kama JPM bila kuwasiliana na vyombo.
Je, tatizo ni nini, hawa watu waliopewa madaraka makubwa ya kufanya hivyo au mifumo mibaya inayowawezesha kufanya watakavyo?
Nisipokosea kwenye enzi za BWM iliandikwa Blue Print inayoitwa Tanzania Busion 2025. Ambayo ni mpango kazi wa maendeleo wa wa muda mrefu. Ukihusisha miundombinu hani ijengwe, kilimo kifanyike vipi, wlimu iendeshweje nk
Umembana jasusi pumbu zake awezi kuanalyse maswal hayoYericko Nyerere.
Kazi yenu kubwa chadema ni kusifia nchi jirani bila Tafakuri.
Mkiamini katika nyinyi pekee kuyaona maono hayo.
Na kudharau wasio upamde wenu ki itikadi.
Umeisifia sana Msumbiji ya Philipo Nyusi iliyojaza majasusi Dunia nzima ila imeshindwa kupigana na kundi la Islamic state walioivamia na kulikalia jimbo la Cabo Delgado.
Nchi yenye majasusi Duniani kote ila imeshindwa kulinda uwekezaji mkubwa wa uchimbaji gesi uliowekezwa nchini kwake.
Nchi yenye majasusi kote duniani lakini imepigwa na magaidi hadi ikaomba msaada wa nchi ndogo ya Rwanda ili kujiokoa.
Umeisifia Rwanda kwa kujenga kiwanda cha uchenjuaji madini wakati haina madini yoyote ardhini kwake.
Ila hukutaka kuutumia ujasusi wako kueleza kwamba kiini cha machafuko nchini Congo DRC.
Ni kwa sababu Rwanda inatumika na mataifa makubwa ya nje ili kupora madini ya Congo DRC!.
Umeshindwa kutumia ujasusi wako kutueleza kiini cha majeshi ya kulinda amani nchini Congo DRC (Monusco).
Yamekuwa yakijiingiza kwenye utoroshaji wa madini ya nchi hiyo kwa miongo kadhaa,badala ya kutimiza wajibu wao uliowapeleka huko.
Pia umesifia majasusi wa Kagame walivyojaa Dunia nzima.
Lakini hukutwambia jinsi anavyowatumia kuwaua political opponents wake pamoja na kuwateka popote pale Duniani.
Huku hao mabingwa wa Demokrasia wa Dunia wakikaa kimya.
Sababu ya kutotaka kumuudhi mtoto wao Kagame anayewasaidia kuiba raslimali za Congo DRC!
Umeisifia Uganda kwa uwekezaji mkubwa ilioufanya kwa kuanza kutengeneza magari yenye teknolojia ya Solar nk.
Lakini umesahau kutuambia ni kwa nini waganda hao hao wanavyomkataa museveni kwa ukiukaji mkubwa wa Demokrasia nchini mwake huku mataifa hayo makubwa yakifumbia macho.
Tofauti na wanavyotupigia kelele sisi Tanzania kwa mambo ambayo kimsingi ni madogo kabisa kulinganisha na kinachotokea Rwanda na Uganda.
Umesifia Kenya kwa kuikaribisha Microsoft kuwekeza nchini humo,lakini hujatuwekea mfano hata mmoja wa faida ilizozipata Kenya kwa kuwa mnufaika mkuu wa uwekezaji huo.
Umesifia uwekezaji uliokuwa umepangwa wa Bandari ya Bagamoyo na ukasitishwa na Magufuli kwa sababu ambazo umeziita za kipuuzi.
Sasa ebu tumia Ujasusi wako mkubwa kwa sasa na umshawishi mama Samia aulete Bungeni huo mkataba ujadiliwe kipengele kwa kipengele na ikibidi wananchi tuupigie kura kabla ya kuingizwa mkenge kama tulivyofanywa kwenye Gesi na Mafuta.
Niishie kukupa taarifa kwamba,hata Magufuli aliona mbali kuhusu madini yetu na ndio maana aliamua kujenga masoko ya madini nchi nzima nahivyo kuondoa urasimu katika sekta ya wachimbaji wadogo wadogo wamadini..
Ili wananchi wauze madini kwa kulipa kodi halali na kwa bei halali ya Soko huku akiondoa utoroshaji wa madini kwenda nchi kama Rwanda na Kenya uliokuwa umekithiri.
Kwa kupitia walanguzi haramu wa Madini nchini kwa ushirika na mtandao wa nje.
Pia Magufuli aliona mbali kwa kuanza kujenga hizo refineries sehemu mbalimbali nchini na baadhi tayari zinafanya kazi.
Ikiwemo mojawapo kubwa iliyoko mwanza na inachenjuwa dhahabu kwa kwenda mbele.
Pia umesahau kutumia ujasusi wako kutufahamisha kwamba Angola inafanyauwekezaji mkubwa.
Katika jimbo la Cabinda kwa kutumia bandari ya Lobito,wanajenga reli ya kisasa ambayo itakuja mpaka kusini mwa Congo DRC.
commonmwananchi
10101.
Kipindi nikiwa secondary nilisoma kitabu cha John Perkins kinaitwa economic hit man
Kwenye hicho kitabu kumejaribu kueleza naman mataifa yalio endelea yanatumia mikopo na ushawishi wao kwenya makundi mbalimbali kutawala mataifa yanayoendelea
Hapa kimea jaribu kueleza nchi kama marekani, china inavyo tumia majasusi wao (ambao ni wachumi) kufanya ushawishi kwa viongozi wa hinzi nchi za dunia ya tatu kuchukua mikopo ambayo hailipiki ili hizo nchi ziwe china ya utawala wa hayo mataifa
Angalia nchi kama uganda hapa wamesha chukua airport, huko malawi sijui zambia sina haja ya kuongea.
Kitu nichacho tuhujimu ni kukosa TISS ambayo in multipurpose, Angalia kwenye kamati ya kumshauri raisi mambo ya uchumi TISS yupo mmoja. Mambo ya kiuchumi TISS hawachukulii seriously sana wamejaza ma agent wao kwenye ma benk lkn mm naona haina maana sana.
kila siku tunaandika barua sa kuomba misaada, tunapokea mikopo mipya kila kukicha .
Mm nawaambieni tusipo kuwa makini ile bandari ya dar, airport au mbomba ya gesi vitakuja kuchukuliwa na hawa DONOR'S COUNTRY BY 2040
Lakini kitendo cha waukraine walioua raia wenzao kwa zaidi ya miaka saba na kisha kuwazuia raia wenzao kwa kuwapiga risasi na kuwachora alama za swastika tumboni kwa kutumia kisu cha moto tena wanafanya hivyo kwa akina mama waliokuwa wanajaribu kukimbia asipatwe na madhara ya operation ya kijeshi na wengine tu kuzungumza kirrusia hilo sitatizo kwako.Ukimkuta mwandishi huyu anaipamba Urusi na kufurahia mauwaji ya innocent people ndio utaujuwa undumilakuwili wa Watanzania.
Yericko Nyerere.
Kazi yenu kubwa chadema ni kusifia nchi jirani bila Tafakuri.
Mkiamini katika nyinyi pekee kuyaona maono hayo.
Na kudharau wasio upamde wenu ki itikadi.
Umeisifia sana Msumbiji ya Philipo Nyusi iliyojaza majasusi Dunia nzima ila imeshindwa kupigana na kundi la Islamic state walioivamia na kulikalia jimbo la Cabo Delgado.
Nchi yenye majasusi Duniani kote ila imeshindwa kulinda uwekezaji mkubwa wa uchimbaji gesi uliowekezwa nchini kwake.
Nchi yenye majasusi kote duniani lakini imepigwa na magaidi hadi ikaomba msaada wa nchi ndogo ya Rwanda ili kujiokoa.
Umeisifia Rwanda kwa kujenga kiwanda cha uchenjuaji madini wakati haina madini yoyote ardhini kwake.
Ila hukutaka kuutumia ujasusi wako kueleza kwamba kiini cha machafuko nchini Congo DRC.
Ni kwa sababu Rwanda inatumika na mataifa makubwa ya nje ili kupora madini ya Congo DRC!.
Umeshindwa kutumia ujasusi wako kutueleza kiini cha majeshi ya kulinda amani nchini Congo DRC (Monusco).
Yamekuwa yakijiingiza kwenye utoroshaji wa madini ya nchi hiyo kwa miongo kadhaa,badala ya kutimiza wajibu wao uliowapeleka huko.
Pia umesifia majasusi wa Kagame walivyojaa Dunia nzima.
Lakini hukutwambia jinsi anavyowatumia kuwaua political opponents wake pamoja na kuwateka popote pale Duniani.
Huku hao mabingwa wa Demokrasia wa Dunia wakikaa kimya.
Sababu ya kutotaka kumuudhi mtoto wao Kagame anayewasaidia kuiba raslimali za Congo DRC!
Umeisifia Uganda kwa uwekezaji mkubwa ilioufanya kwa kuanza kutengeneza magari yenye teknolojia ya Solar nk.
Lakini umesahau kutuambia ni kwa nini waganda hao hao wanavyomkataa museveni kwa ukiukaji mkubwa wa Demokrasia nchini mwake huku mataifa hayo makubwa yakifumbia macho.
Tofauti na wanavyotupigia kelele sisi Tanzania kwa mambo ambayo kimsingi ni madogo kabisa kulinganisha na kinachotokea Rwanda na Uganda.
Umesifia Kenya kwa kuikaribisha Microsoft kuwekeza nchini humo,lakini hujatuwekea mfano hata mmoja wa faida ilizozipata Kenya kwa kuwa mnufaika mkuu wa uwekezaji huo.
Umesifia uwekezaji uliokuwa umepangwa wa Bandari ya Bagamoyo na ukasitishwa na Magufuli kwa sababu ambazo umeziita za kipuuzi.
Sasa ebu tumia Ujasusi wako mkubwa kwa sasa na umshawishi mama Samia aulete Bungeni huo mkataba ujadiliwe kipengele kwa kipengele na ikibidi wananchi tuupigie kura kabla ya kuingizwa mkenge kama tulivyofanywa kwenye Gesi na Mafuta.
Niishie kukupa taarifa kwamba,hata Magufuli aliona mbali kuhusu madini yetu na ndio maana aliamua kujenga masoko ya madini nchi nzima nahivyo kuondoa urasimu katika sekta ya wachimbaji wadogo wadogo wamadini..
Ili wananchi wauze madini kwa kulipa kodi halali na kwa bei halali ya Soko huku akiondoa utoroshaji wa madini kwenda nchi kama Rwanda na Kenya uliokuwa umekithiri.
Kwa kupitia walanguzi haramu wa Madini nchini kwa ushirika na mtandao wa nje.
Pia Magufuli aliona mbali kwa kuanza kujenga hizo refineries sehemu mbalimbali nchini na baadhi tayari zinafanya kazi.
Ikiwemo mojawapo kubwa iliyoko mwanza na inachenjuwa dhahabu kwa kwenda mbele.
Pia umesahau kutumia ujasusi wako kutufahamisha kwamba Angola inafanyauwekezaji mkubwa.
Katika jimbo la Cabinda kwa kutumia bandari ya Lobito,wanajenga reli ya kisasa ambayo itakuja mpaka kusini mwa Congo DRC.
commonmwananchi
10101.
Huu ni utoto.Tusaidie kuzibaini 'strength na Weakness' kutoka katika mada ya Yericko Nyerere